Kikeninjal

Kikeninjal ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakeninjal kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikeninjal imehesabiwa kuwa watu 32,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikeninjal iko katika kundi la Kimalayiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search